Ajira Portal ni jukwaa la mtandaoni lililoundwa na sekretarieti ya ajira Tanzania ili kuwawezesha wanaotafuta kazi kutuma maombi ya nafasi wazi katika taasisi na mashirika mbalimbali ya serikali.
Jinsi ya Kuangalia Matokeo ya Usaili Ajira Portal
Waombaji wanaweza kuangalia matokeo yao kwa kufuata hatua hizi:
Hatua ya 1: Tembelea Ajira Portal
Nenda kwenye mfumo rasmi wa Ajira Portal
Hatua ya 2: Ingia Kwenye Akaunti Yako
Tumia:
Barua pepe uliyosajili
Nenosiri lako
Hatua ya 3: Fungua Sehemu ya Matokeo
Baada ya kuingia kwenye akaunti:
Chagua My Applications
Fungua Interview Results au Matokeo ya Usaili
Hatua ya 4: Angalia Matokeo
Kama matokeo yameshatolewa utaweza:
Kuona hali ya maombi yako
Kupakua PDF ya matokeo
Kuangalia kama umeitwa hatua inayofuata au umechaguliwa kazini
Links Mhimu
Matangazo ya Kazi
Link: https://portal.ajira.go.tz/vacancies
Hii ni sehemu yenye matangazo ya kazi, ambapo waombaji wanaweza kuona kazi zote zilizotangazwa kwenye Ajira Portal.
Maoni na Mrejesho
Link: https://portal.ajira.go.tz/feedback
Hii ni sehemu ya kutoa maoni na mrejesho kuhusu uzoefu na huduma zinazotolewa kwenye Ajira Portal.